Alfabeti School Database
Mfumo wa matokeo
Mfumo huu wa matokeo unakuwezesha kuandaa matokeo kwa urahisi. Mfumo utakuwezesha kupata mkeka wa matokeo, kupata kumi bora na transcript ya matokeo ya kila mwanafunzi kwa shule za msingi na sekondari . Mfumo huu wa matokeo ni bora na unafuata standard za mifumo duniani kote. Pia mfumo wetu utakuwezesha kuprint vitambulisho vya kidijitali kwa ajiri ya wanafunzi. Vitambulisho hivi vitatumiwa na wazazi kupata taarifa mbalimbali ikiwemo matokeo na ada kutoka shuleni.
Read more | March 16, 2025